Asha Abdullah Juma
Mwanasiasa nchini Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Asha Abdullah Juma (alizaliwa tarehe 13 Novemba 1950) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads