Augustino Zhao Rong
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Augustino Zhao Rong (Wuchuan, 1746 hivi - Chengdu, Majira ya kuchipua 1815) alikuwa padri wa China ambaye alifungwa na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo nchini mwake.

Kabla ya kuongokea dini hiyo alikuwa askari.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 1 Oktoba 2000 pamoja na wengine 119[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads