Augusto Andrea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Augusto Andrea (Santander, 9 Mei 1910 - Turon, 9 Oktoba 1934) alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo[1].
Aliuawa kwa imani yake pamoja na wenzake 7 (Sirili Bertran, Marchano Yosefu, Viktoriano Pio, Benjamini Juliani, Juliani Alfredo, Benito wa Yesu na Aniseto Adolfo[2][3]) na padri Mpasionisti Inosenti wa Imakulata wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Aprili 1990, halafu mtakatifu tarehe 21 Novemba 1999.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads