Autberi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Autberi
Remove ads

Autberi (pia: Aubert; Haucourt, 600 hivi - Cambrai, leo Ufaransa, 669 hivi) alikuwa mmonaki, halafu mkaapweke [1] na hatimaye askofu wa Arras na Cambrai kuanzia mwaka 633.

Thumb
Mt. Aubert katika ikulu ya Bruxelles, Ubelgiji.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads