Autonomo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Autonomo (Italia, karne ya 3 - Bitinia, leo nchini Uturuki, 313) alikuwa Mkristo mmisionari aliyefanya utume mkubwa katika Asia Ndogo kama askofu wa kwanza wa Claudiopolis akauawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Septemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads