Azza Hilal Hamad

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Azza Hilal Hamad (amezaliwa tarehe 18 Oktoba 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads