Badajoz

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Badajoz ni mji wa Hispania, mji mkuu wa mkoa wa Badajoz.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 150,702 [1] na kuufanya wa arubaini na tatu nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads