Bahati Ali Abeid

Mbunge wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bahati Ali Abeid (amezaliwa 22 Mei 1967) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania. Aligombea kiti cha bunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mahonda. Pia alikuwa sekretari wa Umoja wa Wanawake Tanzania kuanzia 2002-2003.[1]

Tanbihi

Chanzo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads