Baleni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Baleni ni kata ya Wilaya ya Mafia katika Mkoa wa Pwani, Tanzania, yenye postikodi namba 61706.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,091 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,870 [2] walioishi humo.

Baleni iko kwenye kisiwa cha Mafia chenyewe takriban katikati ya kisiwa.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads