Bangui

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bangui
Remove ads

Bangui ni mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mji uko mwambaoni mwa mto Ubangi; ng'ambo ya mto uko mji wa Zongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Una wakazi 531,763[1]

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Mji wa Bangui, Afrika ya kati
Thumb
Bangui katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Thumb
Bangui inavyoonekana kutoka angani

Kuna viwanda vya nguo, vyakula, bira, viatu na sabuni. BiAshara ya nje inalenga wateja wa pamba, ubao, kahawa na katani.

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads