Banissa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Banissa ni mji mdogo kaskazini mashariki mwa Kenya.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 14,974[1].

Pia ni kata ya kaunti ya Mandera, eneo bunge la Banissa[2].

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads