Batuli (mwigizaji)
Mwigizaji wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yobnesh Yusuph Hassan (maarufu kama Batuli au Nesh Adan.; alizaliwa Mwanza, 1 Februari 1986) ni mwigizaji kutoka Tanzania[1] Ameonekana katika filamu zaidi ya kumi ambazo zimehusisha waigizaji maarafu Steven Kanumba na Vincent Kigosi.
Batuli ana mtoto mmoja.[2]alianza kazi yake ya uigizaji mnamo mwaka 2000.
Filamu
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads