Mkoa wa Bay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bay (Kisomali: Baay, Kiarabu: باي, Kiitalia: Bai) ni mkoa wa kiutawala (gobol) uliopo kusini mwa Somalia.[1]

Maelezo ya jumla
Umepakana na mikoa mingine ya Somalia ambayo ni Bakool, Hiran, Lower Shebelle (Shabeellaha Hoose), Middle Juba (Jubbada Dhexe), na Gedo.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads