Beatboxing
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Beatboxing ni jina la kutaja aina ya upigaji ngoma kwa kutumia mdomo - hasa kwa kuhusisha sanaa ya utayarishaji wa midundo ya ngoma, wizani, na sauti za kimuziki kwa kutumia mdomo wa mtu, midomo, ulimi, na sauti. Pia inaweza kuhusisha kuimba, sauti za mwigo wa hali ya turntable, na pia uigaji wa honi, nyuzi za gitaa, na vyombo vingine vya muziki. Leo hii beatboxing inahusiana na utamaduni wa hip-hop, ikiwa kama moja kati ya "elementi" zake, ijapokuwa mwisho wake si muziki wa hip hop tu.[1][2] Mkali wa kupiga beatboxing kwa sana ni Michael Winslow kutoka katika filamu ya Police Academy.


Remove ads
Marejeo
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads