Benguela

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Benguela ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Angola na ambao ni makao makuu ya mkoa wa Benguela.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 131,281[1].

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads