Besas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Besas (alifariki 19 Machi 251 hivi) alikuwa askari Mkristo huko Aleksandria (Misri).
Akitetea Juliani na Eunus, waliokuwa wanatukanwa na kupigwa kwa imani yao, alipelekwa kwa hakimu na hatimaye, akidumu katika imani hiyo, akakatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Decius [1].
Habari zao na za wafiadini wengine kumi zimesimuliwa na barua ya Dionisi wa Aleksandria kwa Fabiani wa Antiokia.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 27 Februari[2] au 30 Oktoba[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads