Bigwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bigwa ni kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67111.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 16,623 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,149 waishio humo. [2]
Remove ads
Changamoto ya maji
Kata hii inakabiliwa na changamoto hii kwa sababu maji yanayopatikana hapo ni majitaka na si salama. Tatizo hili linaweza kutatuliwa pale tu ambapo watu wataamua kuwa makini na utupaji takataka ovyo katika vyanzo vilivyopo katika kata.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads