Bilecik
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bilecik ni mji mkuu wa Mkoa wa Bilecik katika nchi ya Uturuki.[1]


Ukiwa sambamba kabisa na na wilaya zake mji huu ni mashuhuri sana kwa kuwa hapa ndipo alipozaliwa Osmani Dynasty, ambao ni wanachama na waanzilishi wa Dola la Osmani.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads