Mkoa wa Bilecik
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bilecik ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa umepakana na baadhi ya mikoa mingine kama vile Bursa kwa upande wa upande wa mashariki, Kocaeli na Sakarya kwa upande wa kaskazini, Bolu kwa upande wa magharibi, Eskişehir kwa upande wa kusini-mashariki na Kütahya kwa upande wa kusini. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,307 na jumla ya wakazi takriban 198,809.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Bilecik umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- (Kiingereza) Bilecik Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) Refik Arslan Öztürk Fen Lisesi / Science High School of Bilecik Ilihifadhiwa 16 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) Bilecik Forum Ilihifadhiwa 7 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) Yerel Yöneylem Kalkınma Derneği-Gölpazarı Ilihifadhiwa 22 Januari 2019 kwenye Wayback Machine.
- (Kituruki) BAYIRKÖY
- (Kituruki) Bileciklilerin Sanal Platformu Ilihifadhiwa 2 Juni 2019 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bilecik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads