Bisau
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bisau ni mji mkuu wa nchi ya Guinea Bisau ukiwa na wakazi 387,909 [1]. Bisau ni mji mkubwa wa nchi na kitovu wa utawala, biashara na viwanda. Biashara ya nje inayopita bandari ya Bisau hasa ni ubao, karanga, mafuta ya mawese na mpira.


Bissau iko katika pwani ya Atlantiki kwenye delta ya mto Geba.
Mji ulianzishwa na Wareno mwaka 1687 kama boma, bandari na kituo cha biashara.
Remove ads
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads