Bizerte
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bizerte ni mji mkuu wa wilaya ya Bizerte huko Tunisia.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 142,966. Hivyo ni mji wa saba kwa ukubwa nchini Tunisia.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads