Bladolfo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bladolfo (alifariki Bobbio, Emilia-Romagna, leo nchini Italia, 630) alikuwa padri mmonaki, mwanafunzi wa Kolumbani[1][2].
Kwa ajili ya imani sahihi alipigwa kikatili na watu waliotumwa na mfalme Ariovaldo wa Walombardi aliyekuwa Mwario, lakini alinusurika kufa[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads