Bob Junior

mwanamuziki wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Bob Junior (amezaliwa 1986) ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania. Ni mmiliki wa studio iitwayo Sharobaro Records. [1][2]

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Jina lingine ...

Kazi Zake

Bob Junior ameshirikiana na wasanii mbalimbali maarufu kama Ali Kiba, Diamond Platnumz, na Lady Jay Dee. Baadhi ya nyimbo zake zinazofahamika ni pamoja na "Asali Yangu" akimshirikisha Gnako.

Mitazamo Yake: Katika mahojiano, Bob Junior amempongeza Diamond Platnumz kama msanii namba moja barani Afrika.

Mafanikio na Mchango

Kupitia Sharobaro Records, Bob Junior amechangia kukuza vipaji vipya na kuendeleza muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania.

Tuzo

Ameteuliwa mara mbili kwa Tuzo za Muziki Tanzania, kwa mara ya kwanza aliteuliwa mwaka 2011 kuwa Msanii Bora anayechipukia, na mwaka 2012 kuwa msanii bora wa kiume. [3][4]

Nyimbo

  • Katoto Cha Kufinya

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2018

  • Kimbiji

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2013

  • Sura Mbili

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2019

  • Sura Mbili

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2019

  • Love You

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2022

  • Love You

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2022

  • Nafsi Inateseka

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2010

  • Nafsi Inateseka

Wimbo huu ulitolewa mwaka 2010

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads