19 Machi
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 19 Machi ni siku ya 78 ya mwaka (ya 79 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 287.
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1883 - Norman Haworth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1933 - Philip Roth, mwandishi kutoka Marekani
- 1943 - Mario Molina mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 1949 - Valery Leontiev, mwanamuziki na mwimbaji kutoka Urusi
- 1955 - Bruce Willis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 1289 - Mwenye heri Yohane wa Parma, padri Mfransisko kutoka Italia
- 1721 - Papa Klementi XI
- 1950 - Norman Haworth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1950 - Edgar Rice Burroughs
- 1982 - Louis-Victor Broglie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1929
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya mtakatifu Yosefu, mume wa Bikira Maria; lakini pia kumbukumbu ya mtakatifu Yohane wa Parrano n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads