Bologna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bologna ndio mji mkuu wa mkoa wa Emilia-Romagna nchini Italia. Mji upo m 54 juu ya usawa wa bahari.

Kwa mujibu wa kadirio la mwaka wa 2020, kuna wakazi wapatao 391,525 wanaoishi katika mji huo.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads