Bomoa Mipango
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bomoa Mipango ni albamu ya Dknob ya mwaka wa 2008. Albamu ina nyimbo zipatazo kumi. Albamu imeshirikisha wasanii kabambe wa muziki wa wa kizazi kipya, wasanii hao ni kama vile Squeezer, Benjamin, Q Jay, Ray C, Soprano na Only Face. Albamu inasambazwa na kampuni ya Mitaani Most Wanted Entertainment, ambayo ni kampuni ya burudani ya mwanamuziki Dknob. Kwa mauzo ya nje, albamu inasambazwa na Mwamba Production ya nchini Finland.
Remove ads
Nyimbo zilizopo katika albamu
- Dakika Tatu
- Yupi ni Yupi - Akimsh. Benjamin
- Ingewezekana - Akimsh. Ray C na Squeezer
- Juhudi za Msela
- Dear Mtoto
- We Unasemaje - Akimsh. Benjamin
- Mfalme wa Mitaani - Akimsh. Only Face
- Kitu Gani - Akimsh. Q Jay
- We Unasemaje (rmx) - Akimsh. Benjamin
- Kitu Gani (rmx) - Akimsh. Q Jay
Nyimbo zote zimetayarishwa na Miikka Mwamba kasoro Na. 3 (Mj Records) na Na. 4 (Mid Man Records).
Tazama pia
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads