Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi
Remove ads

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi (kwa Kiingereza: British Indian Ocean Territory) ni hasa funguvisiwa la Chagos likiwa pamoja na kisiwa cha Diego Garcia. Linapatikana kati ya Tanzania na Indonesia.

Ukweli wa haraka Habari za kimsingi, Mahali ...

Mauritius inadai eneo lote ni lake, na mwaka 2017 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa umeikubalia ifungue kesi katika Mahakama Kuu ya Kimataifa. Baada ya kushinda kesi hiyo, Ufalme wa Muungano ulifikia makubaliano na Mauritius (2024) ya kusaini mkataba utakaotambua visiwa kuwa vya Mauritius.

Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka

British Indian Ocean Territory travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads