Brittany Murphy

From Wikipedia, the free encyclopedia

Brittany Murphy
Remove ads

Brittany Anne Murphy-Monjack (10 Novemba 197720 Desemba 2009) alikuwa mwigizaji na mwimbaji kutoka nchini Marekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...

Alipata kuonekana katika filamu kama vile Clueless, Girl, Interrupted, 8 Mile, Uptown Girls, Sin City, Happy Feet, na Riding in Cars with Boys. Amepata kuigiza sauti katika filamu ya Luanne Platter ya katuni kwa ajili ya mfululizo wa TV wa King of the Hill. Filamu yake ya mwisho, Abandoned, ambayo ilitegemewa kutolewa mwanzoni mwa mwaka wa 2010.

Remove ads

Maisha ya awali

Brittany Anne Murphy[2] alizaliwa mjini Atlanta, Georgia, mnamo tar. 10 Novemba 1977.[3] Wazazi wake, Sharon Kathleen Murphy na Angelo Bertolotti, walitalikiana akiwa na umri wa miaka miwili, na Murphy akalelewa na mama mjini Edison, New Jersey, na baadaye mjini Los Angeles, ambapo walipohamia kwa hiyo Murphy aliweza kujiendeleza zaidi katika kazi zake za uigizaji.[4][5][6] Murphy alisema kwamba mama'ke hakuwahi kujaribu kuzuia shughuli zake, na anamhesabu mama'ke kama ndiyo chachu ya mafanikio yake ya baadaye: "Pale nilipomwomba mama'ngu tuamie mjini California, aliuza kila kitu na kuhamia kule kwa ajili yangu. … Siku zote huniamini." Mama'ke Murphy ni mtu mwenye asili ya Ireland na Ulaya ya Mashariki na baba'ke ni Mwitalia-Mwamerika.[7][8] Alilelewa katika familia ya wa Baptist na baadaye wakaja kubadili na kuwa kwenye dhehebu la taasisi fulani ya Kikristo ambayo si jumuia katika taasisi za Kikristo zingine.[9][10]

Murphy alikuwa ndugu wa kati wakubwa wawili, Jeff na Tony Bertolotti, na dada'ke wa kati, Pia Bertolotti.[11]

Remove ads

Kazi za uigizaji

Filmografia

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...

Televisheni

Maelezo zaidi Mwaka, Jina ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads