Bukavu
Ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.Mji una wakazi 806,940. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bukavu (zamani: Costermansville, Costermansstad) ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.

Mji una wakazi 806,940.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads