Burgos

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Burgos ni mji wa Hispania, mji mkuu wa mkoa wa Burgos.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 175,821 [1] na kuufanya wa thelathini na sita nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads