Bustani ya Jeevanjee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bustani ya Jeevanjee ni bustani ya umma katika kitovu cha jiji la Nairobi, Kenya. Bustani ya Jeevanjee ilianzishwa na Alibhai Mulla Jeevanjee, mfanyabiashara mzaliwa wa Karachi, Pakistani aliyefika wakati wa ujenzi wa reli ya Uganda nchini Kenya. [1]
Hii ndio bustani ya pekee katika mji inayomilikiwa moja kwa moja na raia, baada ya kuchangiwa kwa watu maskini wa Nairobi kama eneo la kupumzika (mbuga ilikuwa mali binafsi inayomilikiwa kwa niaba ya watu wa Nairobi).
Remove ads
Pia tazama
Virejeleo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads