Buy U a Drank (Shawty Snappin')

From Wikipedia, the free encyclopedia

Buy U a Drank (Shawty Snappin')
Remove ads

"Buy U a Drank (Shawty Snappin')" ni kibao cha mtayarishaji/mtunzi-mwimbaji wa R&B T-Pain. Kibao kilitolewa mnamo tar. 20 Februari 2007. Kibao ni single rasmi ya kwanza kutoka katika albamu ya T-Pain, Epiphany. Kibao pia kimemshirikisha rapa Yung Joc.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2007), Nafasi iliyoshika ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads