Epiphany
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Epiphany ni albamu ya pili kutoka kwa msanii wa utunzi a uimbaji wa R&B T-Pain. Kibao rasmi cha kwanza kutoka kwenye albamu ni pamoja na "Buy U a Drank (Shawty Snappin')".
Epiphany iliingia kwenye chati za Billboard 200 ikiwa nafasi ya kwanza - huku ikiwa imeuza nakala 171,126 katika wiki yake ya kwanza na baadaye ikauza zaidi ya 819,000 kunako mwezi wa Mei 2008[1][2] Albamu ilitolewa mnamo tar. 5 Juni 2007, imeipita kidogo tu albamu ya Rihanna, Good Girl Gone Bad, ambayo pia ilitolewa kunako tar. 5 Juni kwenye chati za albamu za Billboard 200. Kitangulizi, "Tallahassee Love" akishirkiana na Nappy Boy Entertainment's Jay Lyriq wame- sampuli kibao cha 2Pac cha "California Love". "I Got It" na "Suicide" inashughulika na masuala ya HIV/AIDS na imeonekana inawiana vilivyo.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
Remove ads
Historia ya matoleo
Nafasi ya chati
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads