Cacongo

Manispaa katika jimbo la Kabinda From Wikipedia, the free encyclopedia

Cacongo
Remove ads

Cacongo[1] [2] [3] (huitwa pia Lândana, Molembo[4]) ni Manispaa inayopatikana katika mji wa Kabinda nchini Angola. Manispaa hii inapatikana katika mwambao wa bahari ya Atlantiki, ikiwa na ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 1679, na idadi ya watu wanaokadiriwa kufikia takribani 39,076 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2014, lakini pia kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2019 eneo hili linakadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao takribani 44,974 [5]

Thumb
Manispaa ya Cacongo
Remove ads

Historia

Wareno walianza kuingia katika mji huo mnamo Karne ya 15 kipindi ambacho mji huu ulikuwa ukikaliwa na jamii iliyokuwa chini ya utawala wa Ufalme wa Cacongo.[6]

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads