Lazio

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lazio
Remove ads

Lazio ni mkoa wa Italia. Uko katikati, upande wa magharibi.

Thumb
Sehemu ya mkoa wa Lazio
Thumb
Bendera ya Lazio
Thumb
Mahali pa Lazio katika Italia.

Ni mkoa wa pili kwa wingi wa wakazi na kwa uchumi baada ya Lombardia.

Mji mkuu wake ni Roma, ambao ni pia mji mkuu wa taifa na mji mkubwa kuliko yote nchini.

Tazama pia

Viungo vya nje


Maelezo zaidi Mikoa ya Italia ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lazio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads