Cardiff City

From Wikipedia, the free encyclopedia

Cardiff City
Remove ads

Cardiff City ni klabu ya soka inayopatikana katika mji wa Cardiff, Wales ambayo inashiriki katika mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu nchini Uingereza.

Thumb
Uwanja wa timu ya Cardiff City
Thumb
Uwanja wa timu ya Cardiff City

Ilianzishwa mwaka 1899 kama Riverside AFC, klabu hiyo ilibadilisha jina lake kuwa Cardiff City mwaka 1908 na kujiunga na mfumo wa ligi ya soka ya Kiingereza mwaka 1910, kushindana katika Ligi ya Soka ya Kusini kabla ya kujiunga na Ligi ya Soka mwaka wa 1920. [1]

Ndio klabu pekee kutoka nje ya Uingereza hadi wameshinda Kombe la FA mwaka 1927. Pia wamefikia fainali nyingine za makombe matatu katika mashindano ya uingereza, mwaka 1925 Kombe la FA dhidi ya Sheffield United, na tena mwaka 2008 Kombe la FA dhidi ya Portsmouth na mwisho Kombe la Soka la 2012 dhidi ya Liverpool F.C..[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads