Caroline Siems

Mchezaji soka wa kike wa Ujerumani From Wikipedia, the free encyclopedia

Caroline Siems
Remove ads

Caroline Siems (alizaliwa 9 Mei 1999) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama beki wa timu ya wanawake ya Bayer Leverkusen kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga.[1]

Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads