Cash Money Records

From Wikipedia, the free encyclopedia

Cash Money Records
Remove ads

Cash Money Records ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1991, ikiwa chini ya ndugu wawili - Bryan "Baby" Williams na Ronald "Slim" Williams.

Thumb
nembo ya Cash Money Records


Ukweli wa haraka Shina la studio, Imeanzishwa ...
Remove ads

Historia

Filamu

  • Baller Blockin (2000) - uharifu/mapigano filamu imechezwa na Lil Wayne, Juvenile, B.G., Turk na Williams.

Wasanii

  • All Star Cashville Prince
  • B.G. (alikuwepo sasa hivi hayupo)
  • Birdman
  • Glasses Malone
  • Juvenile (alikuwepo sasa hivi hayupo)
  • Lil Wayne
  • Mack 10
  • Mannie Fresh (alikuwepo sasa hivi hayupo)
  • Pastor Troy
  • Stacks
  • Turk
  • Yo Gotti
  • Young Buck (alikuwepo sasa hivi hayupo)

Marejeo

Vingo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cash Money Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads