Chaguo Langu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Chaguo Langu" ni jina la filamu iliyotoka 2012 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Jacqueline Wolper, Single Mtambalike na Adam Kuambiana. Filamu imeongozwa na Mtambalike na kutayarishwa na Bulls Entertainment. Filamu inaelezea hadithi ya binti aliyelelewa katika mazingira ya dini kupita kiasi, lakini anakutana na changamoto ya kufuata tabia zisizo za kimaadili hasa mumewe kutaka avae mavazi yasiyoendana na maadili aliyokuziwa nayo. Baadaye anapata vishawishi kadhaa kutoka kwa mganga wa kienyeji na kumpoteza mumewe katika mazingira ya kichawi.[1]
Remove ads
Viungo vya Nje
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads