Jacqueline Wolper
Mwigizaji wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Jacqueline Wolper Massawe (alizaliwa Kilimanjaro, Tanzania, 6 Desemba 1987) ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka chini Tanzania.[1]
Remove ads
Wolper amecheza filamu nyingi tu nchini na aliletwa kwenye ulimwengu wa filamu na mwigizaji mwenzake Lucy Komba. Filamu alizocheza ni pamoja na: Tom Boy – Jike Dume, Crazy Desire, Mahaba Niue, I am Not Your Brother, Chaguo Langu, Dereva Taxi, Shoga Yangu na Family Tears. Wolper amekuwa mtu wa kutokea katika magazeti mara kwa mara na kashfa kedekede. Mahusiano yake na Harmonzie yalikuwa magazetini kila siku hadi walipoachana.[2][3]
Remove ads
Maisha
Jacqueline Wolper Massawe alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Mawenzi na baadaye kuhamia Magrath, Ekenywa na Masai kwa ajili ya elimu ya sekondari hadi mwaka 2000.
Wolper vilevile alisomea masuala ya biashara huko Arusha na vilevile hujishughulisha na mambo ya urembo. Hasa kwa kuwashughulikia warembo katika mavazi na mitindo mbalimbali.[4][5]
Baadhi ya filamu zake
- Tom Boy – Jike Dume
- Hard Price
- Robson Rambo
- Nikole
- Crazy Desire
- Mbegu
- After Death
- Impossible
- My Princess
- Tikisa
- Mahaba Niue
- Pain for Pain
- P.F.P
- Think Before
- Identity Card
- Babylon
- Before Wedding
- I am Not Your Brother
- Curse of Marriage
- Ulimi
- Mr.Nobody
- Total Confusion
- Pusi na Paku
- Lupepo Village
- Hukumu ya Mande
- Ndoa Yangu
- Mtekaji
- Chocolate
- End of Evil
- The Dilomat
- My Intention
- Time After Time
- Chaguo Langu
- Siri ya Moyo Wangu
- God is Great
- Saa 4
- Swadakta
- Gaitan
- Clinic Love
- Dereva Taxi
- The Impact
- Mens Day Out
- Dunia Nyingine
- Determination
- Aching Heart
- Shoga yangu
- Signature
- Mafisadi wa Mapenzi
- All About Love
- Eagle Eyes
- Wrong Decision
- Mtegoni
- Ama Zako Ama Zangu
- Suprise
- Fake Love
- Life 2 Life
- Pete ya Ajabu
- The Avenger
- Mtumwa
- Secretary
- Last Minutes
- Red Valentine
- Jozani
- Ndani ya Gunia
- Roho Sita Revelation
- Family tear
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads