Chamazi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chamazi ni kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 15116.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 203,327 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,313 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads