Chang Myon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chang Myon (Kikorea: 장면 張勉) (28 Agosti 1899 - 4 Juni 1966) alikuwa zamani mwanadiplomasia, Waziri mkuu, Makamu wa rais wa nchi ya Korea Kusini.[1] Chang Myon alikuwa Waziri mkuu 1950 hadi 1952, 1960 hadi 1961 na Makamu wa rais na aliyekuja kupokelewa na Ham Tae-young kuanzia mwaka wa 1956 hadi 1960. Alizaliwa mjini Jongro, Mkoani Seoul.[2]

Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads