Changchun

From Wikipedia, the free encyclopedia

Changchun
Remove ads

Changchun (kwa Kichina: 長春) ni mji wa China. Ndio mji mkuu Wa jimbo la Jilin.

Thumb
Mji wa Changchun
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 7.5 wanaoishi katika mji huu.

Mji upo mita 222 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Changchun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads