Chemba (Chemba)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chemba ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41801[1]. Chemba imekuwa makao makuu ya wilaya mpya mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,730 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,047 [3] waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Chemba vyenye shule ya msingi vilikuwa Chemba yenyewe, Chambalo, Kambi ya Nyasa, Kidoka, Ombiri na Pangalua kwasasa pia kuna shule ya msingi muungano ambayo ipo ombiri.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads