Chid Benz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro[1] (anafahamika kwa jina la kisanii kama Chid Benz; amezaliwa 1985) ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania.
Ndiye mwanzilishi na ndiye kiongozi wa kundi la wasanii wa Ilala almaarufu kama LAFamilia. Benz anasifika kwa kupata ushirika mwingi kwa sasa kuliko msanii yeyote yule wa Tanzania. Amewahi kushirikiana na Stara Thomas, Ray C., Lady Jay Dee, Tunda Man, Spark, Mwasiti, Mangwair, Maunda Zorro na wengine wengi tu.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads