Chiponda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chiponda ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Msimbo wa posta ni 65209.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 7,007 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,162 6,396[2].
Wakazi asili wa kata ya Chiponda wengi wao hi kabila la Wamwera ambao walitokea sehemu za Wilaya ya Nachingwea na kuhamia eneo hilo hasa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia kwa vile lipo sehemu ya milima.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads