Chongqing

From Wikipedia, the free encyclopedia

Chongqingmap
Remove ads

Chongqing (matamshi:ˌ|tʃ|ʊ|ŋ|ˈ|tʃ|ɪ|ŋ au |tʃ|ɔː|ŋ|-|,_|ˌ|tʃ|uː|ŋ|-,[6], pia: Chungking, Ch'ungk'ing, Ch'ung K'ing, Chongking, Ch'ung-ch'ing. Kifupi chake rasmi ni "Yu"[7] ni manispaa kubwa ya China[8]. Kwa sababu hiyo, pamoja na Beijing, Shanghai na Tianjin iko chini ya serikali kuu moja kwa moja.

Thumb
Mji wa Chongqing

auto

Ukweli wa haraka Country, - Aina ya serikali ...

Chongqing ina historia na utamaduni muhimu. Pia upande wa uchumi, mawasiliano na viwanda ina nafasi ya pekee.[9]

Remove ads

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads