Chris Tucker
Muigizaji na mcheshi wa Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Christopher Tucker (amezaliwa 31 Agosti 1971) ni mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Smokey kwenye filamu ya Friday na kama Mpelelezi James Carter kwenye mfululizo wa filamu za Rush Hour. Tucker amekuwa mtumbuizaji wa uchekeshaji-wima mara kwa mara kwenye Def Comedy Jam katika miaka ya 1990. Vilevile amepata kuonekana kwenye The Fifth Element ya Luc Besson, Jackie Brown ya Quentin Tarantino, Silver Linings Playbook ya David O. Russell na Money Talks.
Remove ads
Filmografia
Filamu
Televisheni
Remove ads
Video za muziki
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads