Chuini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Chuini ni kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi A katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 16,076 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,320 waishio humo. [2]

Remove ads

Historia

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads