Orodha ya miji ya kale ya Waswahili

From Wikipedia, the free encyclopedia

Orodha ya miji ya kale ya Waswahili
Remove ads

Orodha ya miji ya kale ya Waswahili ni orodha ya miji ya kale iliyoanzishwa na Waswahili kuanzia mwaka 800, wakati Wabantu kwenye mwambao wa Afrika mashariki walianza kuzungumza lugha ya Kiswahili na kuumba utamaduni wake, mpaka 1900[1][2][3][4][5]. Waswahili hao walianzisha miji mbalimbali kwenye mwambao na visiwa vya Afrika Mashariki.[6]

Thumb
Magofu ya Pujini katika Wilaya ya Chake Chake, Tanzania.
Thumb
Msikiti wa Chwaka katika Wilaya ya Micheweni, Tanzania.
Thumb
Kasri la Mkama Ndume huko Pujini, Wilaya ya Chake Chake, Tanzania.
Thumb
Msikiti wa Kizimkazi uliopo Dimbani, Wilaya ya Kusini, Tanzania.
Thumb
Magofu ya Gedi, Kenya.
Thumb
Magofu ya Tongoni katika Wilaya ya Tanga, Tanzania.
Thumb
Magofu ya Kilwa Kisiwani katika Wilaya ya Kilwa, Tanzania.
Thumb
Magofu ya Takwa katika Kisiwa cha Manda, Kenya.
Thumb
Msikiti wa Magofu ya Msuka Mjini, Wilaya ya Micheweni, Tanzania.
Thumb
Msikiti wa Mbutu Bandarini katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.
Thumb
Makaburi ya Mbuamaji katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.
Thumb
Msikiti wa Kimbiji katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.
Remove ads

Mwambao wa Kaskazini, Kenya

Mwambao wa Kusini, Kenya

Mwambao wa Kaskazini, Tanzania

Pemba, Tanzania

Unguja, Tanzania

Mwambao wa Kusini, Tanzania

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads